journal swahili matin
- Kinshasa:Mwito wa wafanyikazi wa serikali upatikana mbali na familia sababu ya Covi-19
- Bukavu:Mji wa Bukavu imetengwa na mitaa zote za eneo ilo la Sud Kivu
- Bandundu:Wakaji wa Bandundu wana tumia dawa ya Kongo Bololo wakizaniwa kujikinga na Covid-19
- Kinshasa:Waziri ausika na ujenji na makao ana alika wenyezi wa manyumba wasifukuze wapangayi wao kwa kuzuia Covid-19
- Kinshasa:hali ya Covid-19 leo nchini humu kama imetolewa na INRB
- Bunia:watu elfu saba wamekimbia bupya mtaa wa Djugu wanaiitaji msaada ya kiuutu pale Bunia katika jimbo la Ituri
- Lubumbashi:hatuwa mpya kwa malori kwa kuvuka mpaka wa Kasumbalesa katika jimbo la haut Katanga.
Laisser un commentaire