journal swahili matin

Kinshasa:Mwito wa wafanyikazi wa serikali upatikana mbali na familia sababu ya Covi-19 Bukavu:Mji wa Bukavu imetengwa na mitaa zote za eneo ilo la Sud Kivu Bandundu:Wakaji wa Bandundu wana tumia  dawa ya Kongo Bololo wakizaniwa kujikinga na Covid-19 Kinshasa:Waziri ausika na ujenji na makao ana alika wenyezi wa manyumba  wasifukuze wapangayi wao kwa kuzuia Covid-19 Kinshasa:hali […]

plus